Daegu
Daegu (Kikorea: 대구) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa nne katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakaazi 2,512,604 (mwaka 2009).
Jiografia
haririEneo lake ni 884.15 km².
Viungo vya nje
hariri- english.daegu.go.kr Ilihifadhiwa 11 Mei 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu "Daegu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Daegu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
]]