Daigo wa Japani

(Elekezwa kutoka Daigo)

Daigo (6 Februari, 88523 Oktoba, 930) alikuwa mfalme mkuu wa 60 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Atsuhito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Uda. Mwaka wa 897 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 930, siku chache tu kabla ya kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Suzaku.

Mchoro wa Daigo

Angalia pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daigo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.