Suzaku wa Japani

(Elekezwa kutoka Suzaku)

Suzaku (7 Septemba, 9236 Septemba, 952) alikuwa mfalme mkuu wa 61 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hiroakira, na alikuwa mwana wa kumi na moja wa Tenno Daigo. Mwaka wa 930 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 946. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, Murakami.

Mchoro wa Suzaku

Angalia pia

hariri
 
ufalme wa Suzaku
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suzaku wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.