Daigo wa Japani
Daigo (6 Februari, 885 – 23 Oktoba, 930) alikuwa mfalme mkuu wa 60 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Atsuhito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Uda. Mwaka wa 897 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 930, siku chache tu kabla ya kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Suzaku.
Angalia pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Daigo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |