Dalal Abdel Aziz; alizaliwa mnamo 17 Januari, 1960 alikuwa mwigizaji wa Misri. Alikuwa mke wa mwigizaji Samir Ghanem kwanzia mwaka 1984 hadi kifo chake mnamo tarehe 7 Agosti mwaka 2021.

Dalal Abdel Aziz
Amezaliwa 17 Januari, 1960
Farghan, Sharqia, Misri
Amekufa 7 Agosti, 2021.
Miaka ya kazi 1977–2021
Watoto Donia na Amy



Abdel Aziz alikuwa na shahada ya kwanza kutoka Kitivo cha Kilimo katika Chuo Kikuu cha Zagazig.[1] Baadaye alisoma katika Kitivo cha Mawasiliano ya Misa, Fasihi ya Kiingereza na Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Cairo.[2]

Abdel Aziz aliingia katika fani ya uigizaji mwaka 1977 akiwa na nafasi ndogo, ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika mfululizo wa filamu ya Bint Al Ayam, na mwanzo wake halisi ni pale msanii Nour El Demerdash alipomtambulisha kwenye ukumbi wa michezo, na alishiriki katika vitu vingi ikiwemo mfululizo wa filamu na michezo, na kwa kazi hizi aliweza kupata tuzo nyingi kama mwigizaji bora.

Maisha Binafsi

hariri

Abdel Aziz aliolewa na mwigizaji Samir Ghanem; walikuwa ni wazazi wa waigizaji Donia na Amy.

Ghanem alifariki kutokana na matatizo ya figo na kuhusishwa na hali ya COVID-19 katika Hospitali ya El Safa, akiwa na umri wa miaka 84.[3][4][5][6]

Abdel Aziz alifariki tarehe 7 Agosti,[7] kutokana na matatizo yanayohusiana na COVID-19 pia,[8] Siku 100 baada ya kuambukizwa.[1]

Marejeleo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dalal Abdel Aziz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. 1.0 1.1 "Covid-19: Egyptian actress Dalal AbdelAziz dies 100 days after infection". Khaleej Times. 7 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "In Picture: Donia and Amy Samir Ghanem Sob at Their Mother, Dalal Abdel Aziz's Funeral". albawaba.com. 8 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Famous Egyptian comedian Samir Ghanem dies aged 84 while battling COVID-19". Arab News. 20 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Egyptian comedian Samir Ghanem dies at 84". Roya News. 20 Mei 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-21. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "بعد الفطر الأسود الذي أصاب سمير غانم قبيل وفاته.. الفطر الأبيض مرض جديد يصيب مرضى كورونا". Al Jazeera (kwa Arabic). 22 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  6. "Iconic Egyptian Comedian Samir Ghanem Passes Away Aged 84". Egyptian Streets. 20 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "The death of the Egyptian actress, Dalal Abdel Aziz". People News Chronicle. 7 Agosti 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-09. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Breaking: Veteran actress Dalal Abdel Aziz passes away at 61 after long struggle with after COVID-19 symptoms". Egypt Today. 7 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)