Dan Jacobson
Mwandishi wa Afrika Kusini
Dan Jacobson (amezaliwa 7 Machi 1929) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Baada ya kuhitimu Chuo Kikuu cha Witwatersrand, aliishi hasa katika nchi za Israel na Uingereza. Hasa aliandika hadithi na riwaya.
Dan Jacobson | |
Amezaliwa | 7 Machi 1929 Johannesburg, Afrika Kusini |
---|---|
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwandishi |
Maandishi yake
hariri- The Trap (1955)
- A Dance in the Sun (1956)
- The Price of Diamonds (1957)
- The Beginners (1966)
- The Rape of Tamar (1970)
- The Confessions of Josef Baisz (1977)
- Time and Time Again (1985)
- The Electronic Elephant: A Southern African Journey (1994)
Angalia pia
haririMarejeo
hariri- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dan Jacobson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |