Danay García
Danay García (amezaliwa tar. 5 Julai 1984, mjini Havana, Kuba) ni mwigizaji filamu na tamthilia wa Kikuba. Kwa sasa anashiriki katika tamthilia ya Prison Break, na humu anacheza kama Sofia Lugo.
Danay García | |
---|---|
Amezaliwa | 5 Julai 1984 Havana, Kuba |
Wasifu
haririMaisha na sanaa (kwa ufupi
haririDanay Garcia alizaliwa na kukulia mjini Havana, Kuba.[1]. Aliazna kazi za unenguaji tangu yungali na miaka kumi.[2]. Danay anajua kucheza muziki wa Ballet, Salsa, Dansi ya Kiafrika, Merengue, Belly Dansi, na Flamenco. Baadaye akaja kuwa mwanamitindo. Kwa sasa, ni mmoja kati washriki wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Danay Garcia anaishi mjini Mexico City, na ana mume na watoto wawili.
Filamu alizocheza
haririMwaka | Jina la filamu | Jina alilotumia | Maelezo |
---|---|---|---|
2007 | From Mexico with Love | Maria | |
2007–2008 | Prison Break | Sofia Lugo | Mfululizo wa TV |
2007 | CSI: Miami | Camille Tavez | Mfululizo wa TV |
2006 | Danika | Myra |