Daniel Bellemare

Mwanasheria wa Kanada

Daniel Bellemare (alizaliwa 1952)[1] ni muendesha mashtaka wa Kanada. Baada ya kufanya kazi mda mrefu kwenye mfumo wa Mahakama wa nchini Kanada alichaguliwa kama muendesha mashtaka katika United Nations Special Tribunal for Lebanon hadi 2012.[2]

Alishawahi kufanya kazi katika sehemu mbalimbali kwenye Serikali ya Kanada kama Mwanasheria mkuu msaidizi pamoja na mshauri wa Naibu waziri wa Sheria na Haki Kanada.[3][4]

Marejeo hariri

  1. "Secretary-general names Canada’s Daniel Bellemare commissioner of international independent commission, prosecutor of Special Tribunal for Lebanon". United Nations Secretary General. Iliwekwa mnamo 4 January 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Ayed, Nahlah. "Will the Canadian get his man?", CBC News, 2 February 2009. Retrieved on 4 January 2011. 
  3. "Daniel A. Bellemare - Biography". Special Tribunal for Lebanon (U.N.). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-26. Iliwekwa mnamo 2011-01-04. 
  4. Potter, Mitch. "UN had evidence linking Hezbollah to murder of Lebanese PM: CBC", Toronto Star, Nov 21, 2010. Retrieved on 2010-12-12.