Daniel Wendel Imhof (alizaliwa Uswisi, Novemba 22, 1977) ni mchezaji wa zamani wa soka wa kulipwa aliyekuwa akicheza kama kiungo.

Alichezea timu ya taifa ya soka ya Kanada mechi 37.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Canada – Record International Players". RSSSF. 6 Aprili 2011. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Daniel Imhof FIFA competition record
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Imhof kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.