Daniel Ochefu

Daniel Ochefu (amezaliwa 15 Disemba 1993) ni mchezaji wa mpira wa kikapu mwenye asili ya mchanganyiko wa kinigeria aliyezaliwa nchini Marekani.

Anacheza katika ligi B huku akiichezea timu ya Ibaraki Robots. Daniel aliichezea timu ya Villanova Wildcats kipindi alipokua chuo.[1]

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Ochefu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.