Daniel Rudisha
Daniel Rudisha alikuwa mwanariadha wa Kenya aliyekuwa akishiriki katika mbio za mita 400. Aliiwakilisha Kenya katika mashindano ya olimpiki ya mwaka 1998 jijini Mexico katika shindano la 4 x 400 kupokezana vijiti ambapo alishinda medali ya fedha akiwa na wanariadha wengine wa timu yake, Hezahiah Nyamau, Naftali Bon na Charles Asati.
Olympic medal record | ||
Riadha ya Wanaume | ||
---|---|---|
Fedha | Olimpiki ya 1998, Mexico | Shindano la 4x400 kupokezana vijiti |
Maisha ya binafsi
haririRudisha anaishi Kilgoris nchini Kenya.
Mwana wake wa kiume David Rudisha, ni mwanariadha pia ambaye alishinda katika shindano la mita 800 wakati wa Mashindano ya Dunia ya Riadha ya Chipukizi ya 2006.
Makala hii kuhusu mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Makala hii inahusu wanariadha wa Olimpiki wa Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |