Roger Daniel Velasques (alizaliwa 11 Disemba 1943) ni mwanariadha nchini Ufaransa ambaye alishiriki katika mbio za mita 400. Alishirii Ufaransa katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 1972 iliyofanyika Munich, Ujerumani katika mbio za 4 x 400 za kupokezana ambapo alishinda medali ya shaba akiwa na wachezaji wenzake Gilles Bertould, Francis Kerbiriou na Jacques Carette.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Velasques kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.