Soko la Hisa la Dar-es-Salaam
(Elekezwa kutoka Dar es Salaam Stock Exchange)
Soko la Hisa la Dar es Salaam ni liko Dar es Salaam, mji mkubwa zaidi nchini Tanzania. Liliunganishwa mnamo Septemba 1996 na ununzi ulianza Aprili mwaka wa 1998; soko hili ni mwanachama wa Shirika la Masoko ya Hisa ya Afrika. Kwa sasa lina makampuni 11 yaliyoorodheshwa.
Ununuzi hufanyika kwa muda wa chini ya saa moja kwa kila juma[0].
Orodha ya kampuni zilizorodheshwa
haririKifupisho | Kampuni | Maelezo |
1.DAHACO | Dar es Salaam Airports Handling Company | Shughuli za uchukuzi wa angani na majini |
2.EABL | East African Breweries | Bia, Gin, mvinyo |
3.KQ | Kenya Airways | Usafiri wa anga |
4.SIMBA | Tanga Cement | Saruji |
5.TBL | Tanzania Breweries | Inashirikiana na shirika la South African Breweries |
6.TCC | Tanzania Cigarette Company | Bidhaa za tumbaku, Sigara |
7.TOL | Tanzania Oxygen | Oksijeni, Nitrojeni, asetilini, gesi za dawa, vifaa vya kulehemu |
8.TATEPA | Tanzania Tea Packers | Chai na Kahawa |
9.TWIGA | Twiga Cement | Saruji |
10.NICOL | Taifa Investments Company Limited | Uwekezaji |
11.KCB | Kampuni ya Kenya Commercial Bank | Benki |
- Kampuni za East African Breweries na Kenya Airways zimeorodheshwa kwenye soko la hisa la Uganda Securities Exchange na Soko la Hisa la Nairobi.
- Kampuni ya Kenya Commercial Bank imeorodheshwa pia kwenye soko la hisa la Nairobi, soko la hisa la Uganda Securities Exchange na soko la hisa la Rwanda[1]
Tazama Pia
hariri- Uchumi wa Tanzania
- Orodha ya masoko ya hisa
- Orodha ya masoko ya hisa barani Afrika
- Masoko ya hisa ya nchi za uchumi mdogo
Viungo vya nje
haririMarejeo
hariri
Stub icon | Makala about stock exchanges bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Soko la Hisa la Dar-es-Salaam kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala African corporation or company bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |