Kenya Airways ni kampuni ya ndege ya taifa ya Kenya yenye makao makuu jijini Nairobi. Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1977 baada ya kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kulikopelekea kuvunjika kwa "East African Airways". Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani Afrika, Ulaya na India. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Afrika kuliko kampuni yoyote barani Afrika. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.

Kenya Airways
IATA
KQ
ICAO
KQA
Callsign
KENYA
Kimeanzishwa 4 Februari 1977
Vituo vikuu Jomo Kenyatta International Airport, Moi International Airport
Muungano SkyTeam
Ndege zake 30
Shabaha 46
Nembo "The Pride of Africa"
Makao makuu Embakasi, Nairobi, Kenya
Watu wakuu Titus Naikuni (CEO)
Alex Mbugua (CFO)
Evanson Mwaniki (Chairman)
Tovuti www.kenya-airways.com
Kenya Airways Boeing 777-200ER

Angalia pia

Viungo vya nje