Daraja la Kirumi
Daraja la Kirumi ni daraja linalovuka Mto Mara nchini Tanzania.[1] Ujenzi wake ulifadhiliwa kupitia mkopo kutoka Mfuko waMaendeleo wa Afrika (African Development Fund).
Daraja la Kirumi English: Kirumi Bridge | |
---|---|
Daraja la Kirumi nchini Tanzania. | |
Yabeba | Barabara kuu ya B6 (leni 2) |
Yavuka | Mto Mara |
Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
Mbunifu wa mradi | COWIconsult |
Aina ya daraja | Cable-stayed bridge |
Urefu | mita 223.3 |
Idadi ya nguzo | 3 |
Ujenzi ulianza | 1980 |
Gharama za ujenzi | US$ 10 milioni |
Kilizinduliwa | Novemba 1985 |
Anwani ya kijiografia | 1°31′42.2″S 33°58′30.77″E / 1.528389°S 33.9752139°E |
Tazama pia
haririMarejeo
haririMakala hii kuhusu daraja barani Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |