David Homeli Mwakyusa

David Homeli Mwakyusa (amezaliwa tar. 9 Mei 1942) ni mbunge wa jimbo la Rungwe Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu David Homeli Mwakyusa (18 Februari 2008). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.