Dele Aiyenugba
Bamidele Mathew Aiyenugba (alizaliwa Jos, Nigeria, 20 Novemba 1983) ni mchezaji wa soka wa Nigeria anayecheza katika klabu ya Kwara United F.C.. Jina lake, Bamidele, linamaanisha "Nifuate nyumbani" katika lugha ya Yoruba.[1]
Baada ya msimu wa 13 nchini Israel akiwa na timu nne, Aiyenugba alirudi Nigeria kabla ya msimu wa 2020-21 ili kucheza na Kwara United.[2]
Mafanikio
hariri- Nigerian Premier League: 4
- 2002, 2003, 2005, 2007
- Nigerian FA Cup: 1
- 2005
- Nigerian Super Cup: 1
- 2003
- African Champions League: 2
- 2003, 2004
- African Super Cup: 2
- 2004, 2005
Marejeo
hariri- ↑ Meaning of Bamidele in Nigerian.name Imefikia tarehe 18 Machi 2018.
- ↑ NPFL: A look At The Past Season And 2020/21 Campaign (Completesports.com)
Viungo vya nje
hariri- Profaili ya mchezaji - Tovuti ya Bnei Yehuda Ilihifadhiwa 21 Machi 2014 kwenye Wayback Machine.
- Dele Aiyenugba at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dele Aiyenugba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |