Deo Brondo ni msanii wa kurekodi kutoka jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo, mtunzi, mwimbaji na mburudishaji. Brondo alianza muziki katika Anti Choc ya Bozi Boziana. Ambapo alikaa kuanzia 1993 hadi 1997. Baadaye, alijiunga na Zaïko Langa Langa ambapo alitunga wimbo Carpe Diem, katika albamu ya 1999 Sumu.

Wakati fulani, alikuwa mwanachama wa bendi ya muziki ya Quartier Latin International, iliyoanzishwa na kuongozwa na mwanamuziki wa Kongo Koffi Olomide. Katika utayarishaji wa Inchallah, Deo Brando anakuwa mtu wa sita (wa mwisho) kuimba peke yake, nyuma ya Fally Ipupa, Bouro Mpela, Soleil Wanga, Montana Kamenga, na Jipson Butukondolo.

Deo Brondo Diskografia Aliandika, akapanga na alikuwa mwimbaji mkuu kwenye Tous Pepele pamoja na Quartier Latin.

Marejeo

hariri