Dernière Minute ni jina la kutaja albamu ya mwanamuziki, mwimbaji na mnenguaji mashuhuri kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama Yondo Sister. Albamu imetoka mwaka wa 1995. Sehemu kubwa ya utayarishaji wa albamu hii ulifanyika nchini Ufaransa katika studio za T.J.R. Music. Albamu ilisambazwa na Sonodisc.

Dernière Minute
Dernière Minute Cover
Studio album ya Yondo Sister
Imetolewa 1995
Aina Soukous
Urefu 42:18
Lebo T.J.R. Music ‎– CD AT 129
Mtayarishaji Yondo Sister
Wendo wa albamu za Yondo Sister
Yondo Syster & Soukous Stars
(1991)
Dernière Minute
(1995)
Agenda
(2002)

Orodha ya nyimbo

hariri

Hii ni orodha ya nyimbo zilizopo katika albamu hii.

  1. Madi
  2. Perdue De Vue
  3. A Chachun Son Goût
  4. Dernière Minute
  5. Africa
  6. Jo
  7. Maweke
  8. Je Me Sens Bien

Kikosi kazi

hariri

Viungo vya Nje

hariri