DeviantArt
DeviantArt ni jumuiya ya sanaa mtandaoni.
Makao makuu yako Hollywood huko mjini Los Angeles, California.[1] Mnamo mwaka wa 2008, DeviantArt ilikuwa na wageni milioni 36.[2] Mnamo mwaka wa 2010, DeviantArt ilikuwa na wapendwa milioni 1.4 na maoni milioni 1.5. Mnamo mwaka wa 2011, DeviantArt ilikuwa mtandao wa kijamii wa kumi na tatu kwa ukubwa.[3] Mnamo mwaka wa 2017, DeviantArt ilikuwa na wanachama zaidi ya milioni 25 na faili zaidi ya milioni 250.[4]
Marejeo
hariri- ↑ "DeviantArt, Inc." (Kiingereza) Businessweek Investing. Accessed November 9, 2008.
- ↑ "DeviantArt attracts almost 40m visitors online yearly" (kwa Kiingereza). Siteanalytics.compete.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 10, 2011. Iliwekwa mnamo Septemba 9, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Matt Rosoff (Julai 27, 2011). "These 19 Social Networks Are Bigger Than Google+" (kwa Kiingereza). Businessinsider.com. Iliwekwa mnamo Septemba 9, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "DeviantArt - Career Page". deviantart.jobs (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 26, 2020. Iliwekwa mnamo Septemba 9, 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya Nje
hariri- Official website (Kiingereza)