Devon Island ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).

Kisiwa cha Devon

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 55,247, ila hakina wakazi.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Devon Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.