Dhaka ni mji mkuu wa Bangladesh pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi 12,560,000 (mwaka 2005). Iko kando la mto Dhaleswari inayoendelea kuleta mafurko mara kwa mara wakati wa mvua za monsuni.

Muonekano wa Mji wa Dhaka



Jiji la Dhaka
Nchi Bangladesh
Tovuti:  www.dhakacity.org
Mahali pa Dhaka nchini Bangladesh
Bandari ya Sadarghat mjini Dhaka

Miji ilipatikana katika eneo la Dhaka tangu karne ya 7 BK. Kabla ya kuja kwa Uislamu utamaduni wa eneo lilikuwa la Kihindu na Kibuddha. Wakati wa utawala wa Wamoghul idadi ya Waislamu iliongezeka. Dhaka ilikuwa na mchanganyiko wa dini hadi mgawanyo wa Uhindi wa 1947 wakati ambapo Wahindu walikimbia au kufukuzwa katika sehemu hii ya nchi si wengi tena waliobaki.

1947 Dhaka ilikuwa mji mkuu wa sehemu ya mashariki ya Pakistan. Baada ya uasi wa Pakistan ya Mashariki ikawa mji mkuu wa nchi mpya ya Bangladesh.

Shahid Sriti Stombho - Sohrawardy Uddan.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dhaka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.