Diana Bacosi (alizaliwa 13 Julai 1983) ni mwanamichezo wa mchezo wa kulenga shabaha kutoka Italia.[1]

Diana Bacosi ashinda medali ya fedha katika sketch katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya 2020
Diana Bacosi ashinda medali ya fedha katika sketch katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya 2020

Alianza kulenga shabaha akiwa na umri wa miaka 14.[2] Aliwakilisha nchi yake katika mashindano ya ulengaji ya wanawake katika Olimpiki ya majira ya joto  ya 2016 ambapo alishinda medali ya dhahabu, na katika Olimpiki ya majira yajoto ya 2020 ambapo alishinda medali ya fedha.

Marejeo hariri

  1. "Olympic". web.archive.org. 2016-08-06. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-06. Iliwekwa mnamo 2021-11-29. 
  2. "Diana Bacosi - Skeet". www.beretta.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-29.