Diane Audrey Ngako

Diane Audrey Ngako (alizaliwa tarehe 6 Septemba mnamo mwaka 1991) ni mfanyabiashara kutoka Kamerun. Pia alikua ni rais na mwanzilishi wa Omenkart Group.

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diane Audrey Ngako kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.