Digrii
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Digrii inaweza kumaanisha:
- kipimo cha nyuzi za maumbopembe katika jiometri au za themometa, halijoto au nyuzijoto
- shahada, iliyo hati ya kiwango cha elimu inayotolewa kwa mtu aliyeonyesha utaalamu wake kufuatana na masharti ya Chuo Kikuu fulani; mfano: Shahada ya awali (BA, BSc), uzamili (MA, MSc), uzamivu (daktari, PhD), profesa