Dilijan (Kiarmenia: Դիլիջան;[1]) ni mji uliopo mjini kaskazini mwa mkoa wa Tavush huko nchini Armenia. Ni moja kati ya mji muhimu wenye vivutio vingi sana nchini Armenia, upo kwenye Hifadhi ya Taifa ya Dilijan.

Mji wa Dilijan

Idadi ya wakazi wanaokalia hapa ni 13,752.

Tanbihi hariri

  1. pia umeitwa kwa Kirumi kama Dilizhan, Dilishan, Delizhan, Delijan, Delishan, Dilichan, Diližan, Dilidjan, na Tilichan; pia Dili, Hin, Dili P’ok’r, na Tili

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dilijan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.