Dimitra wa Knidos ni sanamu ya Ugiriki ya kale yenye ukubwa wa mtu halisi, iliyoketi, ambayo iliwekwa karibu na bandari ya kale ya Knidos, kusini-magharibi mwa Asia Ndogo (sasa karibu na Datça nchini Uturuki wa leo). Sasa ni sehemu ya mkusanyo wa Jumba la Makumbusho la Uingereza, na ni mfano wa kuvutia wa sanamu za Kihellenisti kutoka karibu mwaka wa 350 KK.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. British Museum Highlights Marble statue of Demeter, BritishMuseum.org, retrieved 10 January 2016
  2. British Museum Collection Statue, BritishMuseum.org, retrieved 30 November 2013
  3. British Museum Research Project at Knidos Return to Cnidus, BritishMuseum.org, retrieved 30 November 2013
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dimitra wa Knidos kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.