Jongoo

(Elekezwa kutoka Diplopoda)
Jongoo
Majongoo panda wakijamiiana
Majongoo panda wakijamiiana
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Faila: Arthropoda
Nusufaila: Myriapoda
Ngeli: Diplopoda
Ngazi za chini

Nusungeli:

Majongoo ni aina za arithropodi wembamba na warefu katika ngeli Diplopoda ya nusufaila Myriapoda wenye miguu mingi. Wanafanana kijuujuu na tandu lakini hawa huenda mbio na hula wanyama wengine (invertebrati na vertebrati). Majongoo huenda polepole na hula dutu ya viumbehai, viani na kuvu.

Hata kama kwa Kiingereza majongoo huitwa millipedes (miguu elfu) na tandu huitwa centipedes (miguu mia), kwa ukweli wana idadi karibu sawa ya miguu: tandu wana miguu 16 hadi 300 na majongoo 36 hadi 750.

Spishi kadhaa za Afrika

hariri
  Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jongoo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.