Katika utarakilishi, dirisha la amri (kwa Kiingereza : "command-line window") linatekelezea amri kwa programu ya tarakilishi. Mifumo ya uendeshaji yote ina dirisha la amri.

Dirisha la amri kwenye Linux.

Marejeo

hariri
  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.