Djuma Shabani

Mchezaji wa mpira injini kongo

Djuma Shabani (alizaliwa 16 Machi 1993) ni mchezaji wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anachezea katika klabu ya Yanga na timu ya taifa ya DR Congo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Djuma Shabani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.