Padre Dominique Pire (10 Februari, 191030 Januari, 1969) alikuwa padre wa shirika la Wadominiko kutoka nchi ya Ubelgiji. Jina lake la kuzaliwa ni Georges Charles Clement Ghislain Pire.

Dominique Pire

Anajulikana hasa kwa kuwasaidia wakimbizi.

Mwaka wa 1958 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dominique Pire kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.