Don't Forget About Us

"Don't Forget About Us" ni wimbo ulioandikwa na mwimbaji wa Marekani aitwaye Mariah Carey kwa kushirikiana na Jermaine Dupri, Johntá Austin pamoja na Bryan-Michael Cox. Wimbo huu ulirekodiwa na Carey kwa ajili ya kurekodi albamu yake ya studio kwa mara ya pili iliyoitwa The Emancipation of Mimi iliyotoka mwaka 2005. Wimbo huu ulitayarishwa kwa msaada wa Mariah na watayarishaji wengine kama vile, Dupri na Ausin, na wimbo huu ulitoka kama single ya tano kutoka katika albamu hii, na ya nne kwa upande wa Marekani ya kaskazini iliyotoka mwishoni mwa mwaka 2005 Wimbo huu ulifika katika nafasi ya kwanza nchini Finland na Marekani, na kuweza kuingia katika nyimbo arobaini bora katika maeneo mengine. Wimbo huu ulichaguliwa kwa ajili ya kushindania tuzo ya 9 ya Grammy.

“Don't Forget About Us”
“Don't Forget About Us” cover
Single ya Mariah Carey
kutoka katika albamu ya The Emancipation of Mimi (Ultra Platinum Edition)
Imetolewa Desemba 12, 2005 (2005-12-12)
(see Release history)
Muundo Digital download
Imerekodiwa Japan and New York City
Aina Pop, R&B
Urefu 3:53
Studio Island
Mtunzi Mariah Carey, Jermaine Dupri, Johntá Austin, Bryan-Michael Cox
Mtayarishaji Mariah Carey, Jermaine Dupri, Johnta Austin, G Daoud
Certification Platinum (U.S.)
Mwenendo wa single za Mariah Carey
"Get Your Number"
(2005)
"Don't Forget About Us"
(2005)

Kuhusu Rekodi

hariri

Tofauti na wimbo wa We Belang Together ambao pia ni wimbo kutoka katika albamu ya The Emancipation of Mimi, Katika wimbo huu mwimbaji anakubaliana na ukweli kuwa, hatamwona mpenzi wake tena na hivyo amekubaliana na ukweli kuwa, mpenzi wake anampenda mtu mwingine, lakini anamwomba mpenzi wake huyo kuwa, asisahau mambo yaliyotokea kati yao wakati wa mapenzi yao. Carey amekuwa akishutumiwa kwa kurudia mtindo wa nyimbo zake hususani zile zilizopata mafanikio. Hapo kabla, nyimbo za Heartbreaker wa mwaka 1995, na wimbo wa Loverboy wa mwaka 2001, zikifanana sana na wimbo wa Dreamlover wa mwaka 1993 na wimbo wa Fantasy wa mwaka 1995.

Wimbo wa "Don't Forget About Us" uliteuliwa kugombea tuzo ya mwaka 2006 ya BET Awards katika wavuti ya BET.com "Viewers' Choice". Pia uliteuliwa kugombea tuzo ya Grammy ya Mwanamuzi bora wa kike anayeimba nyimbo za B&B, na pia mwanamuziki bora wa nyimbo za R&B

Video ya muziki

hariri
Faili:DFAB1.jpg
Carey alludes to Monroe's Something's Got to Give (1962) in "Don't Forget About Us".

Video ya wimbo huu iliweza kumarudisha Cerey na mtayarishaji wake wa nyimbo wa zamani aliyetayarsha wimbo wa Honey mwaka 1997, itwaye Paul Hunter Vido hii ilitoka rasmi kama sehemu ya matangazo tarehe 1Novemba 2005, lakini iliwea kuchezwa katika kipindi cha MTV tarehe 29 oktoba. Ilifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika katika Total Request Live ambapo baada ya muda ilitoka a kuingia katika chati Black Entertainment na chati ya 106 & Park

Muundo na orodha ya nyimbo

hariri

European CD single

  1. "Don't Forget About Us"
  2. "Don't Forget About Us" (Remix featuring Juelz Santana & Bone Thugs-N-Harmony)

European CD single

  1. "Don't Forget About Us" (Radio Edit)
  2. "Don't Forget About Us" (Ralphi Rosario & Craig J. Martini At Xo Vocal Edit)

Australian CD single

  1. "Don't Forget About Us" (Album Version)
  2. "Don't Forget About Us" (Tony Moran & Warren Rigg Dancefloor Anthem Remix)
  3. "Don't Forget About Us" (Ralphi Rosario & Craig J. Martini Vocal)
  4. "Don't Forget About Us" (Quentin Shelter Anthem Mix)
  5. "Don't Forget About Us" (Video)

European CD maxi-single

  1. "Don't Forget About Us"
  2. "Don't Forget About Us" (Ralphi Rosario & Craig J. Anthomic Vocal Mix)
  3. "Don't Forget About Us" (Tony Moran Mix)
  4. "Don't Forget About Us" (Video)

UK CD maxi-single

  1. "Don't Forget About Us" (Radio Edit)
  2. "Don't Forget About Us" (Tony Moran & Warren Rigg Dancefloor Anthem Remix)
  3. "Shake It Off" (Remix featuring Jay-Z and Young Jeezy)

Historia ya kutoka

hariri
Eneo Tarehe
United Kingdom Desemba 12, 2005 (2005-12-12)
United States Desemba 13, 2005 (2005-12-13)
Chati (2005) Ilipata
nafasi
Australian Singles Chart[1] 12
European Singles Chart 38
Irish Singles Chart[2] 25
UK Singles Chart[3] 11
U.S. Billboard Hot 100[4] 1
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[4] 1
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[4] 1
Chart (2006) Peak
position
Austrian Singles Chart[5] 61
Dutch Singles Chart[6] 27
Finnish Singles Chart[7] 1
German Singles Chart[8] 41
Hungarian Singles Chart[9] 6
Italian Singles Chart[10] 11
New Zealand Singles Chart[11] 12
Swiss Singles Chart[12] 19

Msambazaji Mauzo Certification
United States 1,000,000+ Platinum

Marejeo

hariri
  1. Australian Singles Chart
  2. Irish Singles Chart
  3. UK Singles Chart
  4. 4.0 4.1 4.2 "Artist Chart History - Mariah Carey". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-04. Iliwekwa mnamo 2008-04-04.
  5. Austrian Singles Chart
  6. Dutch Singles Chart
  7. Finnish Singles Chart
  8. German Singles Chart
  9. "Hungarian Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-13. Iliwekwa mnamo 2021-01-16.
  10. Italian Singles Chart
  11. "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-31. Iliwekwa mnamo 2010-01-28. {{cite web}}: Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20110831062617/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret= ignored (help) Archived 31 Agosti 2011 at the Wayback Machine.
  12. Swiss Singles Chart