Jermaine Dupri
Jermaine Dupri Mauldin (anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama Jermaine Dupri au J.D.; amezaliwa 23 Septemba 1972) ni mshindi wa Tuzo ya Grammy, akiwa kama msanii bora wa rekodi, mtayarishaji, mtunzi wa nyimbo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani.
Jermaine Dupri | |
---|---|
Dupri mnamo 2012
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Jermaine Dupri Mauldin |
Pia anajulikana kama | J.D. |
Amezaliwa | 23 Septemba 1972 |
Asili yake | Atlanta, Georgia, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mtayarishaji wa rekodi, mtunzi wa nyimbo, rapa |
Miaka ya kazi | 1987–mpaka sasa |
Studio | So So Def Recordings, Island Urban Music, TAG Records[1] |
Amefanya kazi na wasanii kama Mariah Carey, Nelly, Janet Jackson, Chanté Moore, Tamia, Mya, Kris Kross, na wengine wengi tu, huko Marekani.
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Jermaine Dupri Official Site
- Jermaine Dupri's Official Youtube
- Jermaine Dupri presents Ocean's 7 Ilihifadhiwa 25 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine.
- Jermaine Dupri kwenye Internet Movie Database
- JD (Discography) Ilihifadhiwa 29 Januari 2010 kwenye Wayback Machine. - beatbuggy.com
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jermaine Dupri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |