Don't Wanna See Me (wimbo)

"Don't Wanna See Me"[1] ni jina la wimbo wa Mayestron, msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, akimshirikisha mwana rapa toka Ujerumani maarufu kwa jina la Peaks.

“Don't Wanna See Me”
Single ya Mayestron akimshirikisha Peaks
Imetolewa 26 Machi, 2019
Muundo Upakuzi mtandaoni
Imerekodiwa 2019
Aina Hip Hop
Urefu 3:34
Studio COP Record Entertainment
Peloomic Inc
Mtunzi Mayestron
Peaks
Mtayarishaji Mayestron
Mwenendo wa single za Mayestron akimshirikisha Peaks
"Forever"
(2017)
"Don't Wanna Se Me"
(2019)
You Should
(2019)
Video ya muziki
"Don't Wanna See Me" katika YouTube

Wimbo umetayarishwa na Mayestron pamoja na Peaks kupitia studio zao tofauti, Mayestron ametayarisha mashairi yake nchini Ireland na Peaks pia amemalizia mashairi yake na tarehe 26 Machi wakautoa huo wimbo. Wimbo huo umefanya vizuri sana kwenye mtandao wa YouTube ndani ya masaa machache.

  1. "Colabo na rappa wa asili ya Ujerumani Peaks". AllMusic.com. Iliwekwa mnamo 2020.