"Forever" ni jina la wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Mayestron.

“Forever”
Single ya Mayestron
Imetolewa 25 Agosti 2017
Muundo Upakuzi mtandaoni
Imerekodiwa 2017
Aina Euro-Pop, R&B
Urefu 3:49
Studio COP Record Entertainment
Mtunzi Mayestron
Mtayarishaji Mayestron
Mwenendo wa single za Mayestron
"Bullies (na. Andrejs)"
(2017)
"Forever"
(2017)
"Too Late"
(2017)
Video ya muziki
"Forever" katika YouTube

Wimbo umetayarishwa na Mayestron mwenyewe kupitia studio yake ya COP Record Entertainment nchini Ireland. Wimbo huu ulifanyiwa usambazaji na kampuni kubwa ya "RouteNote Record" inayopatikana uko Marekani. Huu ni wimbo wa kwanza wa Mayestron kutoa na kufanya bidii ya usambazaji kwenye vituo vya redio nchini uko Ireland. Tena ni wimbo wake wa kwanza kupata watazamaji laki moja na nusu katika Youtube ndani ya siku chace, Mayestron sio maarufu kimziki zaidi na ana mashabiki wengi.

Tanbihi

hariri