Donald M. "Don" Hooper (alizaliwa Hartford, Connecticut, 2 Oktoba 1945)[1] ni mwalimu wa Vermont, mwanaharakati wa mazingira na mwanasiasa. Alihudumia nyumba ya wakilishi wa Vermont kwa awamu nne na kama katibu wa nchi ya Vermont kwa mwaka mmoja.

Maisha ya Awali

hariri

Hooper alihitimu Chuo Kikuu cha Harvard kwa Shahada ya Sanaa 1968 na alipokea fuzu ya shada ya Uwalimu toka katika Chuo cha Havard 1973.[2]

Katika kazi ya awali, Hooper alikua mwalimu wa Kikosi cha Amani Botswana. Na badae alihudumu kama mratibu wa maagizo na muongozaji wa maigizo katika kanda ya kati ya Vermont ndania ya Chuo Jamii cha Vermont. Pia alifanya kazi kama mkurugenzi wa shughuli za baraza ya  Maliasili ya Vermont.[3]

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-04-02. Iliwekwa mnamo 2022-08-03.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-04-02. Iliwekwa mnamo 2022-08-03.
  3. https://www.sec.state.vt.us/media/246658/A-260.pdf
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donald M. Hooper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.