Tartu
(Elekezwa kutoka Dorpat)
Tartu ni mji nchini Estonia; kwa ukubwa ni mji wa pili ukiwa na wakazi 96,736 kwenye mwaka 2017[1].
Tartu ilianzishwa katika karne ya 11 kilijulikana kwa jina la Tharbata. Kaika historia yake ilijulikana pia kama Dorpat au Derpt.
Chuo Kikuu cha Dorpat / Tartu kilianzishwa mwaka 1632 ni chuo kikuu cha kwanza cha Estonia.
Picha
haririMarejeo
haririViungo vya Nje
haririTartu travel guide kutoka Wikisafiri
- Tourism website
- University of Tartu
- Maps of Tartu (in Estonian) Ilihifadhiwa 3 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Interactive map of modern architecture in Tartu (in Estonian) Ilihifadhiwa 30 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine.
- Live webcameras overlooking Town Hall Square Ilihifadhiwa 11 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Weather in Tartu
- Educational portal of Tartu in Russian Ilihifadhiwa 23 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.