Dortmund ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Idadi ya wakazi wake ni takriban 581.000.

Mji wa Dortmund
Dortmund
Hii ni picha ya ukumbusho wa usanifu. Iko kwenye orodha sehemu za kitamaduni za Dortmund.






Jiji la Dortmund

Bendera

Nembo
Jiji la Dortmund is located in Ujerumani
Jiji la Dortmund
Jiji la Dortmund

Mahali pa mji wa Dortmund katika Ujerumani

Majiranukta: 51°31′0″N 7°28′0″E / 51.51667°N 7.46667°E / 51.51667; 7.46667
Nchi Ujerumani
Jimbo Rhine Kaskazini-Westfalia
Idadi ya wakazi (2009)
 - Wakazi kwa ujumla 581.000
Tovuti:  www.dortmund.de
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dortmund kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.