Douglas (Kimanx: Doolish) ni mji mkuu wa Isle of Man. Kuna wakazi 25.422 ambao ni takriban theluthi moja ya wakazi wote wa kisiwa.

Douglas masaa ya jioni

Mji uko upande wa mashariki wa Man na tangu 1863 umekuwa mji mkuu. Umejengwa kando la bandari asilia.

Msingi wa uchumi ni utalii.

Jina la Douglass limetokana na miti ya Dhoo na Glass inayoishia hapa baharini.

Wakazi mashuhuri hariri

 
Hori la Douglas
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Douglas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.