Kisiwa cha Man

(Elekezwa kutoka Isle of Man)

Kisiwa cha Man (kwa Kimanx: Ellan Vannin; kwa Kiingereza: Isle of Man) ni kisiwa kilichopo baharini kati ya Uingereza na Eire chenye wakazi 75,000 kwenye eneo la km² 572.

Kisiwa cha Man (nyekundu) katika ramani ya funguvisiwa la Britania.

Man ni eneo chini ya taji la Uingereza, si sehemu ya Ufalme wa Muungano wenyewe.

Douglas ni mji mkuu.

Lugha rasmi ni Kiingereza pamoja na Kimanx ambacho ni lugha ya Kikelti. Hakuna tena wasemaji wa Kimanx kama lugha ya kwanza, lakini inafundishwa shuleni.

Viungo vya Nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Man kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.