Down Low ni kundi la rap lilianzishwa mjini Kaiserslautern, huko Ujerumani, mnamo mwaka wa 1995. Kundi linaongozwa na marapa wa Kimarekani ambao ni Joe Thompson na Darren Tucker. Kundi linafahamika zaidi kwa kibao chao cha "Johnny B." Down Low huhesabiwa kama moja kati ya makundi ya kwanza ya kuleta mtindo wa muziki wa hip-hop barani Ulaya katika miaka ya 1990 pamoja wasanii wengine kama vile C-Block, Nana na A.K. – S.W.I.F.T.

Down Low
Down Low on 16 July 1999, shortly before their concert in Dresden, Germany
Taarifa za awali
ChimbukoUjerumani
Miaka ya kazi1995–hadi sasa
StudioK-Town
Joe Thompson
Joe Thompson

HistoriaEdit

DiskografiaEdit

AlbamuEdit

Jina Maelezo ya albamu Nafasi iliyoshika
GER
[1]
AUT
[2]
FIN
[3]
ITA
[4]
Visions
 • Imetolewa: Oktoba 14, 1996
 • Studio: Shift, (ZYX)
 • Muundo: CD, Cassette
77
It Ain't Over
 • Imetolewa: Novemba 24, 1997
 • Studio: Shift, (ZYX)
 • Muundo: CD, Cassette
37 47 9
Third Dimension
 • Imetolewa: Novemba 16, 1998
 • Studio: Shift, (ZYX)
 • Muundo: CD, Cassette
84
Moonlight
(imetolewa nchini Italia pekee)
 • Imetolewa: Machi, 1999[5]
 • Studio: Baby/RTI
 • Muundo: CD, Cassette
5[5]
The 4th Level
 • Imetolewa: April 2, 2001
 • Studio: Shift, (ZYX)
 • Muundo: CD, Cassette
Return of the Trendsetter
 • Imetolewa: October 27, 2006
 • Studio: Shift, (ZYX)
 • Muundo: CD
"—" ina-maanisha kazi hizo hazijatolewa au imeanguka katika chati za nchi hiyo.

Albamu za nyimbo kaliEdit

Jina Maelezo ya albamu Nafasi iliyoshika
GER
[1]
AUT
[2]
FIN
[3]
ITA
[4]
Best Of
 • Imetolewa: July 26, 1999
 • Studio: Shift, (ZYX)
 • Muundo: CD
Visions: Best of the Singles 1997-2003
 • Imetolewa: March 3, 2003
 • Studio: ZYX
 • Muundo: CD
"—" ina-maanisha kazi hiyo haijatolewa au imeanguka katika kufika chati za nchi hiyo.

VibaoEdit

Jina Mwaka Nafasi iliyoshika Albamu
GER
[1]
AUT
[2]
FIN
[3]
FRA
[6]
ITA
[4]
SWE
[7]
SWI
[8]
"Vision of Life" 1996 19 10 Visions
"Murder" 25 38
"Nothing Like Viva"
Hip Hop Alliance (featuring Down Low and Flip Da Scrip)
91 46
"Potion" 1997 37
"Lovething" 82 It Ain't Over
"Moonlight" 35
"Johnny B." 4 13 7 33 14 8
"Hit Me Right" 1998 95
"Once Upon a Time" 4 7 26 6[9] 6 Third Dimension
"H.I.V." 1999 53
"So Long Goodbye" 64 49
"Don't You" 2001 99 The 4th Level
"Murder 2002"
Down Low (featuring Warren G.)
2002 Non-album track
"Africa" 2007 Return of the Trendsetter
"Friday Night"[10] 2014 TBA
"Party Like a Freak"
Cassey Doreen (featuring Down Low)[11]
TBA
"—" ina-maanisha kazi hizo hazijatolewa au imeanguka kufika katika chati za nchi hiyo.

Vibao vingineEdit

Jina Mwaka Nafasi iliyoshika Albamu
GER
[1]
AUT
[2]
"I Want to Know What Love Is"
(Rappers Against Racism, featuring Down Low, La Mazz and Scream Factory)Kigezo:Ref Studio
1998 36 20 The Message

Notes^  The track is from the album The Message by Rappers Against Racism.

DVDEdit

2003

 • Visions – The Singles 1997–2003

Tazama piaEdit

Viungo vya NjeEdit

MarejeoEdit

 1. 1.0 1.1 1.2 1.3 Charts.de: Down Low (Discography) (German). Media Control. Charts.de. Iliwekwa mnamo 2014-06-18.
 2. 2.0 2.1 2.2 2.3 Austrian Positions: Down Low Discography. austriancharts.at (Hung Medien). Iliwekwa mnamo 9 March 2010.
 3. 3.0 3.1 3.2 Finnish Positions: Down Low Discography. finnishcharts.com (Hung Medien). Iliwekwa mnamo 9 March 2010.
 4. 4.0 4.1 4.2 Italian Positions: Down Low Discography. italiancharts.com (Hung Medien). Iliwekwa mnamo 9 March 2010.
 5. 5.0 5.1 Hits of the World: Italy (Issue: March 27, 1999). Billboard (via Google Books). Retrieved on 9 March 2010. 
 6. French Positions: Down Low Discography. lescharts.com (Hung Medien). Iliwekwa mnamo 9 March 2010.
 7. Swedish Positions: Down Low Discography. swedishcharts.com (Hung Medien). Iliwekwa mnamo 9 March 2010.
 8. Swiss Positions: Down Low Discography. swisscharts.com (Hung Medien). Iliwekwa mnamo 9 March 2010.
 9. Hits of the World: Italy (Issue: February 20, 1999). Billboard (via Google Books). Retrieved on 9 March 2010. 
 10. Cite error: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Amazon.com
 11. Amazon.com: Cassey Doreen (Party Like a Freak). Amazon.com. Iliwekwa mnamo 2014-07-30.