Open main menu

Kaiserslautern ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani ya Magharibi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 99.275.

Kaiserslautern
Kitovu cha mji wa Kaiserslautern
Kitovu cha mji wa Kaiserslautern

Nembo
Nchi Ujerumani
Jimbo Rhine-Palatino
Idadi ya wakazi
 - 99.275
Tovuti: http://www.kaiserslautern.de/

Tazama piaEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kaiserslautern kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.