Dream League Soccer 2018
Dream League Soccer 2018 ni mchezo wa kompyuta wa mpira wa miguu ulioendelezwa na kuchapishwa na wanamichezo wa Touch Tao.
Dream League Soccer 2018 ilitolewa duniani kote na iOS mnamo 15 Novemba 2017 na kwenye simu za mkononi tarehe 28 Novemba 2017.
Jinsi ya kucheza
haririDream league huanza kwa kuundwa klabu yako mwenyewe. Mchezaji anaanza kucheza kwa kuwa meneja wa timu inayoitwa Dream FC, ambayo itakuwa na wachezaji wenye kiwango cha chini ndani ya kikosi. mchezaji unaweza kuunda jina la timu,viatu vya wachezaji,logo ya timu.
Kuna migawanyo sita ya njia ya kupanda hadi daraja la juu .Gemu hili pia linajumuisha multi-player ambapo mnaweza kucheza watu wawili, endapo kukiwa na Wi-Fi mnaweza mkacheza wawili,kila mtu akiwa meneja wa timu yake.
Historia
haririDream League Soccer 2018 (DLS 2018) ni mchezo wa mpira wa miguu wa simu uliotolewa na studio ya First Touch Games mnamo Desemba mwaka 2017. Ikiendelea na msingi wa michezo ya awali ya Dream League Soccer, DLS 2018 ilileta maboresho kwenye gameplay, pamoja na udhibiti bora wa wachezaji, mbinu zaidi za mpira, na hisia za uhalisia. Mchezo ulijulikana kwa kuruhusu wachezaji kusajili wachezaji maarufu, kujenga timu zao, na kushindana mtandaoni na wachezaji wengine. Pia, ilikuwa na mode ya kazi ya meneja, ambapo wachezaji wangeweza kuongoza timu yao kupitia mashindano mbalimbali. Hata hivyo, baada ya kutolewa kwa michezo mingine ya Dream League Soccer, msaada kwa DLS 2018 ulipungua kadri michezo mipya ilivyotolewa.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Dream League Soccer 2018 kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |