Dudley Herschbach
Dudley Robert Herschbach (amezaliwa 18 Juni 1932) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza utaratibu wa athari za kikemia. Mwaka wa 1986, pamoja na Yuan Lee na John Polanyi alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dudley Herschbach kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |