'

John Polanyi
John Polanyi
Amezaliwa23 Januari 1929
Kazi yakemwanakemia kutoka nchi ya Kanada


John Charles Polanyi (amezaliwa 23 Januari 1929) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Kanada akiwa na asili ya Kihungaria. Hasa alichunguza utaratibu wa athari za kikemia. Mwaka wa 1986, pamoja na Dudley Herschbach na Yuan Lee alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Polanyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.