Dugary Ndabashinze

Dugary Ndabashinze (amezaliwa 8 Oktoba 1989) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Burundi. Kwa sasa anaichezea klabu ya K.R.C. Genk huko Ubelgiji, mojawapo kati ya klabu kubwa za huko.

Dugary Ndabashinze
Maelezo binafsi
Jina kamili Dugary Ndabashinze
Tarehe ya kuzaliwa 8 Oktoba 1989 (1989-10-08) (umri 35)
Mahala pa kuzaliwa    Burundi
Urefu mita 1.82
Nafasi anayochezea Katikati
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa K.R.C. Genk
Namba 21
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
2008 K.R.C. Genk
Timu ya taifa
2007 Burundi

* Magoli alioshinda

Dugary ni kiungo muhimu katika Timu ya Taifa ya Burundi. Alijiunga na Klabu hiyo ya K.R.C Genk mwaka 2008 na mechi nyingi amecheza dakika nyingi amefanikisha kufunga goli mbili katika mechi zake zote na timu hiyo msimu uliopita.

Mechi yake ya kwanza alipoingizwa uwanjani alifunga goli,na hiyo mechi yake ya kwanza magazeti mengi ya Ubelgiji yalizungumzia kuwa anaonekana ni mchezaji mzuri.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dugary Ndabashinze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.