Dume ni kiumbehai yeyote yule wa jinsia ya kiume, yaweza kuwa dume la nyani, dume la simba, na kadhalika. Kama ni binadamu anaitwa mwanamume.

Alama ya jinsia ya kiume.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dume kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.