Uduvi

(Elekezwa kutoka Duvi)
Uduvi
Duvi wa Costa Brava, Hispania (Palaemon elegans)
Duvi wa Costa Brava, Hispania (Palaemon elegans)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Nusufaila: Crustacea (Arthropoda wenye miguu yenye matawi mawili)
Ngeli: Malacostraca (Crustacea wenye sehemu tatu)
Oda: Decapoda (Crustacea wenye miguu mikumi)
Ngazi za chini

Nusuoda 2 na oda za chini 1:

Uduvi (pia duvi, kijino au ushimbu) ni wanyama wadogo wa bahari wa oda Decapoda katika nusufaila Crustacea (gegereka). Hawa ni aina za kamba wadogo. Majina "uduvi" na "ushimbu" hutumika kwa kundi la wanyama hawa au kwa fungu sokoni. Wanyama pekee huitwa "duvi" au "kijino".

Wanatumika kama kitoweo cha chakula.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uduvi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.