Dzaoudzi ni mji kwenye kisiwa cha Pamanzi (Kifaransa: Petite-Terre) katika eneo la ng’ambo la Ufaransa la Mayote. Ina wakazi 10,792 (mwaka 1999)

Bandari ya Dzaoudzi

Dzaoudzi ilikuwa mji mkuu wa Mayote hadi 1976 lakini makao ya utawala ilipelekwa Mamoudzou kwenye kisiwa kikuibwa cha Maore (Kifaransa: Grande-Terre).