Eneo la ng'ambo la Ufaransa

Maeneo ya ng'ambo ya Ufaransa ni maeneo nje ya Ulaya zilizokuwa koloni lakini zimeendelea kuwa sehemu za Ufaransa.

Hali ya kisheriaEdit

Maeneo haya hutofautiana katika hali ya kisheria lakini wakazi wao wote ni raia wa Ufaransa na kila eneo linachagua wabunge wake kwa bunge la Paris. Isipokuwa maeneo yasiyokaliwa na watu hawana mbunge.

  • mengine ni mikoa (departement) kamili sawa na mikoa mingine ndani ya Ufaransa bara; maeneo yao ni sehemu ya Umoja wa Ulaya.
  • mengine ni jumuiya za kujitawala (collectivite) chini ya Ufaransa; hazihesabiwi kuwa sehemu za Umoja wa Ulaya; zinajitwala katika mambo ya ndani lakini mambo ya nje, jeshi na sheria huendeshwa na serikali ya kitaifa na sheria za bunge la Paris.
  • kuna bado eneo moja la ng'ambo linalotawaliwa na serikali ambalo ni visiwa vya kusini vya Kifaransa katika Bahari Hindi.

Mikoa ya Ng'ambo (Département d'outre-mer) au Jimbo la Ng'ambo (Région d'outre-mer)Edit

Eneo la Ng'ambo (Territoire d'outre-mer)Edit

Jumuiya za Kujitawala za Ng'ambo Collectivité d'outre-merEdit

Jumuiya hizi zilianzishwa kwa mabadiliko ya katiba ya Ufaransa mwaka 2003. Kila jumuiya imeundwa kwa sheria ya pekee.

Nouvelle-Calédonie au Kaledonia MpyaEdit

  • Kaledonia Mpya (katika Pasifiki ya kusini) ni eneo la pekee; sehemu ya wakazi wanadai uhuru na kati ya 2014 na 2019 wakazi wote watapiga kura kuhusu swali la kubaki na Ufaransa au kuanzisha nchi huru.

Visiwa visivyokaliwa na watuEdit

Ufaransa hutawala au kudai utawala juu ya visiwa vidogovidogo bila wakazi:

Bahari HindiEdit

Îles ÉparsesEdit

Visiwa hivi hudaiwa pia na Madagaska na Tromelin inadaiwa na Shelisheli.

PasifikiEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya NjeEdit